Salaam.laptop yangu niliweka win 8.1 pro baadae nikaamua kubadilisha nikaaenda kwenye settings kwenye option clean everithing sasa ikawa inachukua muda na inakwenda vry slow nikaamua kuizima na kuwasha tena ili niende kwenye options zingine baada tu ya kufanya hilo.inaandila PREPARING AUTOMATIC REPAIR then baada ya hapo inakuja DIAGNOSING YOUR PC.nimejRibu kila njia wapi inafanya hivo hivo.napmba msaada wenu....