Msaada tongue erosion

The secretary

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
4,149
2,536
naombeni msaada nikila chakula tu ulimi unakatika hospijal wanasema ni ukosefu wa madini ya nyama
 
Kapime inaweza kuwa ni infection ya candidiasis kutokana na upungufu wa protein mwilini, utapia mlo, HIV, AU kutumia madawa aina ya corsticosteroids, Nakushauli fuata ushauri wa madactari na pia kapime HIV na Viral -herpes simplex
 
Asante
 
Back
Top Bottom