msaada toka kwa wanajamvi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada toka kwa wanajamvi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kidoma, Jul 31, 2012.

 1. K

  Kidoma Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika teknolojia ya sasa ya habari na mawasiliano, matumizi ya vifaa mbalimbali huwezesha azima hiyo.
  Mimi nimenunua vifaa kadhaa ili nivitumie kwa nyakati na mazingira tofauti yanayonikabili.
  Hatahivyo, nimeshindwa kumudu matumizi ya baadhi ya vifaa hivyo hali inayonilazimu kuomba msaada kwa 'great thinkers' mahali ambapo hakuna kinachoshindikana.

  moja, nashindwa kuunga internet kwenye simu aina ya TECNO T4 yenye laini nne feature za blackberry pamoja na kuwa ina installation CD yake' nimeshindwa kufika kwenye ofisi za customer care za makampuni ya simu kwa swala hilo kutokana na kuishi remoted area.
  mwenye ujuzi wa kuunganisha simu na internet, iI will appreciate your help!

  pili, natumia android tablet, inaweza kunasa Wi-FI internet japo kwa taabu nikillinganisha na umahiri wa kunasa wireless intwernet unaofanywa na laptop kwenye eneo hilohilo.
  Tatizo kubwa ni kwamba, haiwezi kuungwa na modem yoyote kati ya nilizojaribu kuiunga nayo za voda mpya iliyochakachuliwa kutumia airtel wala kwa modem mpya ya airtel 3.75G.

  napata taabu na vidude hivyo, nawasilisha kwa kuomba msaaada!
   
Loading...