REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,451
- 9,375
Inategemea ni kiwanda gani na upo mkoa gani . Kwa hapa Dar kuna kiwanda kipo Tabara matumbi unaweza kupata kwa 19000 ila nilazima upelekwe na dalali ambaye haumlipi we we analipwa na kiwanda hasa kama unanunua bati chache kiwanda kinaitwa Yang Lin. Mkuu sijaelewa ni kwann huwataki madalali , katika mfumo wa biashara wa kisasa hakuna namna ya kukwepa madalali hasa kama wewe ni mnunuaji mdogo wa bidhaa ishu ya muhimu ni kuangalia unapata nini (willing buying ). Kila LA kheri. Nikupe mfano rahisi tu mkuu, ukienda pale Ubungo kupanda abood ya kwenda morogoro nauli ni 7000 . Ila ukimkuta mpiga debe akikupeleka kwenye gari anapewa 500 kwenye elfu saba yako na ukienda mwenyewe utalipa elfu saba iyoiyo sasa kwann usimkubalie akupeleke apate iyo 500 ambayo haikidhuru chochote!?Habari zenu wadau naomba msaada wa kujua utofauti wa bei za mabati endapo utanunulia dukani na kama utamua kwenda kiwandani
Bati za rangi migongo midogo
Bati za aruminiam za kawaida migongo midogo gejI 30
Wewe kama dalali mpigaji pita usitoe mchango wako maaana wapigaji na madarali ndio mnafanya mambo yaonekane magumu kumbe hapana ni mambo ya kawaida tu endapo utapata tarifa sahihi
Tatizo hao madalali wanataka huku na huku.anakubana mteja piaInategemea ni kiwanda gani na upo mkoa gani . Kwa hapa Dar kuna kiwanda kipo Tabara matumbi unaweza kupata kwa 19000 ila nilazima upelekwe na dalali ambaye haumlipi we we analipwa na kiwanda hasa kama unanunua bati chache kiwanda kinaitwa Yang Lin. Mkuu sijaelewa ni kwann huwataki madalali , katika mfumo wa biashara wa kisasa hakuna namna ya kukwepa madalali hasa kama wewe ni mnunuaji mdogo wa bidhaa ishu ya muhimu ni kuangalia unapata nini (willing buying ). Kila LA kheri. Nikupe mfano rahisi tu mkuu, ukienda pale Ubungo kupanda abood ya kwenda morogoro nauli ni 7000 . Ila ukimkuta mpiga debe akikupeleka kwenye gari anapewa 500 kwenye elfu saba yako na ukienda mwenyewe utalipa elfu saba iyoiyo sasa kwann usimkubalie akupeleke apate iyo 500 ambayo haikidhuru chochote!?
Wewe utakua muongo. Mfano hapo Ubungo ukienda mwenyewe wakati ofisi ya Abood unaifahamu kuna shida gani, na hao madalali wanaleta usumbufu tu. Nahisi wewe ni dalali.Inategemea ni kiwanda gani na upo mkoa gani . Kwa hapa Dar kuna kiwanda kipo Tabara matumbi unaweza kupata kwa 19000 ila nilazima upelekwe na dalali ambaye haumlipi we we analipwa na kiwanda hasa kama unanunua bati chache kiwanda kinaitwa Yang Lin. Mkuu sijaelewa ni kwann huwataki madalali , katika mfumo wa biashara wa kisasa hakuna namna ya kukwepa madalali hasa kama wewe ni mnunuaji mdogo wa bidhaa ishu ya muhimu ni kuangalia unapata nini (willing buying ). Kila LA kheri. Nikupe mfano rahisi tu mkuu, ukienda pale Ubungo kupanda abood ya kwenda morogoro nauli ni 7000 . Ila ukimkuta mpiga debe akikupeleka kwenye gari anapewa 500 kwenye elfu saba yako na ukienda mwenyewe utalipa elfu saba iyoiyo sasa kwann usimkubalie akupeleke apate iyo 500 ambayo haikidhuru chochote!?
Unahisi mm ni dalali!! Unaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi besides udalali ni kazi halali kama MTU ananunua mabus ya billions na anakabidhi dalali kuna tatizo gani mkuu , kama Dangonte ana madalali kila mkoa wanaotafutia mizigo magari yake yanayopeleka sement kuna shida gani!?Wewe utakua muongo. Mfano hapo Ubungo ukienda mwenyewe wakati ofisi ya Abood unaifahamu kuna shida gani, na hao madalali wanaleta usumbufu tu. Nahisi wewe ni dalali.