Ila nakushauri ungenunua pia na inverter, hii kazi yake inabadili DC kwenda AC. Ukiwa na hii inapeleka mpka 220 AC so inaueza ukatumia hata tv, redio zinazo hitaji AC.
Ila hiyo yako unaeza ukaua simu sababu simu zinapokea 5V dc, ila ukiwa na inverter wewe unachomeka tu moja kwa moja charger yenyewe itafanya rectification mpka 5V dc na utasave simu yako.
Sent using
Samsung Galaxy s10 plus/url]