Msaada: The charger is over voltage

Town Hustler

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2016
Posts
277
Reaction score
367
Heshima kwenu waungwana,

Natumia umeme wa solar una betri la 12V 33Ah nimefunga pamoja na controller na panel ya Watt 40
Taa zinawaka bila shida

Kuchaji simu chaja naweka direct kwenye betri sasa kuna tatizo tangu juzi nikiweka tu simu inagoma na simu kuandika CHARGER IS OVERVOLTAGE PLEASE DISCONNECT THE CHARGER .....Nikaamua kununua chaja mpya nikifikiri tatizo ni chaja ila shida ipo palepale

Hii ishu tatizo nini?
Nifanyaje kulitatatua hii ishu?

Nitashukuru msaada wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi kitu imenitokea jana usiku pia ingawa sijaifuatilia shida iko wapi, baada ya kama lisaa limoja nilichomeka chaji ikaingia fresh. Mimi natumia umeme wa Tanesco.
 
Hi kitu imenitokea jana usiku pia ingawa sijaifuatilia shida iko wapi, baada ya kama lisaa limoja nilichomeka chaji ikaingia fresh. Mimi natumia umeme wa Tanesco.
Sawa mkuu
Mimi nilivyoweka chaja mpya kakubali mara ya kwanza na simu ilijaa fresh tu
Nilipoweka mara ya pili ikagoma hadi sasa

Ila case zetu tofauti coz wewe unatumia umeme wa Tanesco

Ngoja wajuzi waje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🙂😀 Tecno natumia ila kama mwanamke mwenye mimba.
 
phala usiweke simu tena hapo, simu inaitaji 5V kuchaji wewe unaipa 12V,

tafuta vile vya kupunguza 12V kwenda 5V
 
nenda kkoo chukua solar charge controller kadogo ka 5A, nyingi zina USB port
kontrola nyingi za kichina zina usb , nashangaa yako haina
Yangu kweli haina USB port
Ila nipo Mbeya mkuu
Nilinunua 25, 000/ ina 6A

Ngoja nijipange coz nina safari ya Dar hivi karibuni
Ahsante kwa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nakushauri ungenunua pia na inverter, hii kazi yake inabadili DC kwenda AC. Ukiwa na hii inapeleka mpka 220 AC so inaueza ukatumia hata tv, redio zinazo hitaji AC.

Ila hiyo yako unaeza ukaua simu sababu simu zinapokea 5V dc, ila ukiwa na inverter wewe unachomeka tu moja kwa moja charger yenyewe itafanya rectification mpka 5V dc na utasave simu yako.

Sent using Samsung Galaxy s10 plus/url]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…