Hizo itakua zile zinazoitwa rapid au kitu kama hikona bank nyinyine wanayo wanaita chap chap account maana yake unafungua account siku hiyohiyo unapewa kadi na account yako iko tayari kwa matumizi
Lakini inafanya kazi kawaida kama hizo nyingine online banking& purchase tofauti ni hiho fu kwamba hamna pcha wala jina ila kwa nyuma kuna signature ambayo nimeweka mwenyewe