Halafu akifika kule atoe desa na kuanza kulisoma mbele yao? au ajaribu kukumbuka?
Hiyo A4 anaichapisha au anaandika kwa mkono?
Mkuu Sting una kazi leo!!!!
'Dont be like that, I am sure you know what I meant'. Wewe ukiambiwa katika usaili 'tell us about yourself' utaongea maneno yakujaza kurasa ngapi za A4??
'Dont be like that, I am sure you know what I meant'. Wewe ukiambiwa katika usaili 'tell us about yourself' utaongea maneno yakujaza kurasa ngapi za A4??
Nimekupata vilivyo mkuu wangu Mungo Park,natumai Sting mwenyewe anajua cha kufanya hapa.
Otherwise hili swali hata mi nimeona limekaa kimitego maana hata wachangiaji wametofautiana mawazo, so mleta mada hopefully atapata wide choice.