Mwambie 'awamwagie' CV yake kwa ufupi kutoka katika ile aliyowaandalia rasmi, hii inatosha..
asummarise cv yake kwa kifupi sana lakimi il;ete maana na kueleweka
Amwage yafuatayo. 'Personal details -meaning name, date of birth, place of birth,marital status' kwa ufupi, 'academic history -meaning dates,colleges,qualifications attained' kwa ufupi, 'Job history-meaning dates, places,positions, major duties' kwa ufupi,'major skills acquired' na 'a competitive edge' n.k. Kwa ujumla isizidi ukurasa mmoja wa A4.Mi naona bado hamjanisaidia, CV ina Personal Details, Academic History, Job History, Achievements, Summary of Duties alizowahi kufanya n.k. So mnamaanisha amwage haya yote kwa ufupi? Means akumbuke vyuo vyote alivyosoma, training zote alizopitia, n.k.?
haya ndo majibu yenyewe but awe in brief!1) Historia yake toka alipozaliwa
2) Maisha yake ya Kila siku
3) Tabia zake kwa Ujumla
4) Aina yake ya ufanyaji wa kazi,
5) Lingine lolote kama lipo.
Anaenda kwenye Oral Interview Mkuu Mungo Park, hapa A4 haiingii!!Amwage yafuatayo. 'Personal details -meaning name, date of birth, place of birth,marital status' kwa ufupi, 'academic history -meaning dates,colleges,qualifications attained' kwa ufupi, 'Job history-meaning dates, places,positions, major duties' kwa ufupi,'major skills acquired' na 'a competitive edge' n.k. Kwa ujumla isizidi ukurasa mmoja wa A4.
Wadau msimpotoshe hilo swali halihitaji hayo mambo mnayoyasema kwani kila kitu kipo kwenye CV unachotakiwa kujibu kwa hilo swali ni zile personal attributes za mfano ukiniuliza mie hilo swali kwenye interview ntakujibu kuwa mie ni mchapakazi hodari, ninayeshirikiana vizuri na wenzangu katika kuhakikisha kuwa malengo ya kampuni au asasi inatimiza malengo yake, nina kawaida ya kutekeleza majukumu yangu kwa umakini mkubwa na bila kusimamiwa na ninatimiza majukumu niliyopewa na wakubwa wangu kwa wakati na zaidi ninapenda kujifunza zaidi mbinu mpya za ufanyaji kazi toka kwa wafanyakazi wenzangu na wakubwa zangu. hili swali halihitaji kueleza historia yako maana tayari wameshaisoma kwenye CV yako

Na 'assume' kama yuko makini atafanya 'homework' kwa ku 'summarize' kwanza katika A4..Anaenda kwenye Oral Interview Mkuu Mungo Park, hapa A4 haiingii!!