hapo kwenye pc pengine huna driver ndio maana inakataaa na kwenye deki si kila simu/deki inakubali. nafkiri mpaka ziwe na feature ya usb otg au deki iwe inaweza kusoma mass storage.
simu nyingi za tecno hazina usb otg,
jaribu kugoogle driver za mediatek universal ueke kwenye pc halafu uone kama itakubali