Msaada: Tecno S5 haisomi memory card

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
729
Nina tecno S5 ghafla imeanza tatizo la kutosoma memory card kuna wakati nikiitoa nikairudisha inasoma ila baada ya muda inapotea tena hata nikibadilisha memory card tatizo linajirudia tatizo laweza kuwa nini?Msaasa wakuu!
 
Restore factory Settings.

Nimeshafanya factory reset mkuu lakini tatizo linajirudia na na nilidhani memory card ndo mbovu ila nikiieka kwenye simu ingine inafaya kazi na nikichukua memory card nyingine nikaiweka bado haisomi.
 
Nimeshafanya factory reset mkuu lakini tatizo linajirudia na na nilidhani memory card ndo mbovu ila nikiieka kwenye simu ingine inafaya kazi na nikichukua memory card nyingine nikaiweka bado haisomi.

kwenye simu yako ndo kuna tatizo....

tatizo lipo ile sehemu ya kuweka memory...
maana ile sehemu inakuwaga na vimeno fulani hivi..
jaribu kupeleka kwa fundi umueleweshe...
peleka kwa fundi unayemwamini...
si unajua mafundi mkuu..


kwa upande wangu fundi naye mwamini ni kinyozi peke ake... maana tunamalizana hapo hapo.... hata naye tungekuwaa tunamwachiaa kichwa labda tunakifuata baadae .. angekuwa haaminiki...
 

Nashukuru sana mkuu nitalifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…