MSAADA,tecno p3 imeogelea kwenye maji

MSAADA,tecno p3 imeogelea kwenye maji

giraffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2010
Posts
630
Reaction score
257
nimetoa battrry baada ya sk 3 nimerudishia battery inavibrate tu bila kuwaka,naomba msaada wenu.
 
Imekufa tayari!
After 3 days and u still beleave it can be recovered! Your wasting your time!
Ukweli utabaki!
 
Kha!! Ungeipelekea na Taulo, imeogelea kwa style ipi mojawapo? Mnazipendaje simu zenu? hadi raha, mie kuogelea tu sijui wewe unalipia swimming pool ili simu iogeleee.....LOL Just kidding.

Ipeleke kwa fundi please ila siku tatu?? Imekuwa Malyasian Flight? Hukuitumia?
 
poa nitajaribu kupeleka kwa fundi,akiniambia sijui kanunue kifaa fulani naachana nayo
 
Mi yangu SAMSUNG ilianguka kwenye maji baada ya masaa kama 5 hivi nikawasha mpk leo naitumia kawaida wala haina tatizo

Tecno ni poor quality smartphone kwahy hawawezi kufanya research kubwa ili kukuepusha na majanga kama hayo...

Peleka kwa Fundi km unaweza
 
hiyo bado nzima mkuu wala hutanunua kitu kipya hapo zaidi mpe fundi mwambie aifungue aisafishe na benzin zen aipake flax na kuipuliza kwa moto wa blower. itawaka na itafanya kazi vizur. ila itakubidi ubadili mic ili ukifunga isisumbue mtu kutokukusikia vizur
 
Hiyo bado nzima izime toa bettri weka cm kwenye feni kesho bends nayo kwa fundi Hilo tatizo dogo
 
Mimi yangu ilikuwa tecno N3 ilidumbukia kwenye maji, ila bahati nilianika tu juani na baadae ikaendelea na mzigo hadi kesho!!
 
Back
Top Bottom