Vitu vingine mbona viko wazi kabisa...halafu hawa ndio wanakuja baadae wanalaumu tecno simu zao mbovu kumbe mijitu yenyewe tu haijielewi anatumia tecno ila chaja anayotumia ya Itel sasa hapo unategemea charge ijae kwa muda gani...kwanza kwa masaa 12 imewahi sana hiyo ilitakiwa ikae 24 hours kama vituo vya sheli