Ndugu wanajamvi kitecno changu kinasumbua camera ukitaka kupiga picha unaambiwa can't connect to camera. Je tatizo ni software au hardware? Na ntawezaje kulifix. Naomben msaada wenu

kuna mtu humu alishawai kuuliza anataka akanunue hiyo kitu.nikamshauri bora achane na hizo simu aziishagi matatizo.reset ikigoma tafuta update zake.....ila tatizo hilo kupona ni bahati sana.....

hasara gani unayopata uki restart device yako kwa hali ya kawaida...?usichanganye na Ku restore naongelea Ku restart au Ku reboot...nmeongelea Ku restart mana ndio solution rahisi na yakwanza pale unapoona device yako huielewi...ikishindikana ndo further solution zitafuata.