Msaada Tecno C9 imegoma kuwaka

Msaada Tecno C9 imegoma kuwaka

mkuu matatizo ya simu za mediatek moja wapo ni kwamba hazina balance ya specs,

mfano cpu ya hii c9 sio mbaya inafanana na simu kama j7 au midrange za huawei kama honor 5x hivi.

ukija gpu ndio mehhh!! gpu yake ni mali 400mp2, kwa ulinganishi galaxy s3 gpu yake ni mali 400mp4, hizo mp zinamaanisha core za graphics s3 gpu yake ina core 4 wakati c9 ni core 2 hivyo gpu ya c9 ni dhaifu zaidi ya s3 simu ya mwaka 2012. halafu kibaya zaidi wakaeka na kioo cha full hd kwenye gpu hio.

hivyo huwezi fanya direct comparison na simu za kampuni kubwa

japo hii simu imezidiwa kila idara na midrange za kampuni kubwa kama huawei na samsung, yenyewe inauzwa bei ghali zaidi. ila sababu watu wamekariri tecno ni bei rahisi wanainunua hali ya kuwa hawajui.

hizi ni baadhi ya simu za kampuni kubwa zinazocompete na c9
-galaxy j5 na j7 (version za 2016 ni nzur zaidi)
-huawei honor 5x
-huawei g8
-motorola g4
etc

pia zipo simu za makampuni makubwa ya china (ukitoa huawei) kama xiaomi redmi note 3 ambazo zina specs kali kushinda tecno yoyote iliyopata kutengenezwa (nzuri kuliko phantom z5) kwa bei around dola 150. hizi zipo kenya bei kama laki 4 ya tz
Daily nilikuwa najiuliza kwanini hizi phantoms ambazo full HD amoled display ziwe na resolution dhaifu kumbe tatizo Ni gpu ndogo!!!

Swali langu je Ni kweli display hizi Ni amoled Kama wanavyodai

Sent from mTalk
 
kaka pole sana kwa janga hilo, hiyo simu si ni mpya ina week 2 tu? hebu warudishie dukani ulikonunua
Mbaya zaidi mi nipo Biharamu Kagera niliiagiza cm kutoka Dar ikaletwa sealed hiyo inamaana warrant haikujazwa so itakula kwangu ina hata wiki haijaisha tangu inifikie. Labda ngoja niulize kama nitapata sehemu yenye Wi-Fi katika sehemu ya karibu.
 
Wifi tafuta simu nyingine fanya tethering connect na hiyo simu yako then itakuomba gmail na password yako uliyoweka simu inafanya kazi kwa maelezo Zaid soma habari za android FRP
 
Mbaya zaidi mi nipo Biharamu Kagera niliiagiza cm kutoka Dar ikaletwa sealed hiyo inamaana warrant haikujazwa so itakula kwangu ina hata wiki haijaisha tangu inifikie. Labda ngoja niulize kama nitapata sehemu yenye Wi-Fi katika sehemu ya karibu.
Ndugu yangu kikoti Kama ungekuwa upo dar ingekuwa rahisi kwenda dukani ili usaidiwe na muuzaji pia hawa tecno wana kitengo Chao cha kusaidia wateja opposite na msimbazi police kariakoo ila Kama Simu yako ina warranty

Pole Sana mkuu!!!

Sent from mTalk
 
Nashukuru wote mliochangia kuitoa cm yangu ilipokuwa kiukweli ktk kujaribu jaribu nikakumbuka nina cm nyingine na yenyewe ina wi-fi ngoja nijaribu nione kama ina detect ikakubali. So nashukuru sana sim yangu imepona michango yenu imeirudisha cm yangu aksanteni sana.
 
Daily nilikuwa najiuliza kwanini hizi phantoms ambazo full HD amoled display ziwe na resolution dhaifu kumbe tatizo Ni gpu ndogo!!!

Swali langu je Ni kweli display hizi Ni amoled Kama wanavyodai

Sent from mTalk
sijawahi sikia tecno amoled umeona wapi? unaweza nipa link?
 
Ifike kipindi sasa waingizaji WA Simu watuletee brand za china zenye akili Kama meizu,Xiaomi,gionee tuone hawa akina techo watauza Kwa nani haya makaratasi yao

Sent from mTalk
Hapo kwenye Gionee nakuunga mkono ndugu.
Kuna mchina mwingine huyo,anaitwa Doogee,ana brand yake moja matata,HomTom HT6.
Siyo kila mchina ni kimeo,ni matumizi yako na kuset kwako,ukiset vitu usivyovijua inakula kwako.
 
sijawahi sikia tecno amoled umeona wapi? unaweza nipa link?[/QUOTE
Sina link ila nimeziona hizi simu kwenye maduka Yao pale posta wamebandika stika Kwa juu ikionesha ni display ya amoled ndio maana nilishangaa Sana kuona hichi kitu,na hata nilipouliza kuhusu amoled muuzaji Hindi akaniambia Ni super amoled display hakika

Sent from mTalk
 
mkuu matatizo ya simu za mediatek moja wapo ni kwamba hazina balance ya specs,

mfano cpu ya hii c9 sio mbaya inafanana na simu kama j7 au midrange za huawei kama honor 5x hivi.

ukija gpu ndio mehhh!! gpu yake ni mali 400mp2, kwa ulinganishi galaxy s3 gpu yake ni mali 400mp4, hizo mp zinamaanisha core za graphics s3 gpu yake ina core 4 wakati c9 ni core 2 hivyo gpu ya c9 ni dhaifu zaidi ya s3 simu ya mwaka 2012. halafu kibaya zaidi wakaeka na kioo cha full hd kwenye gpu hio.

hivyo huwezi fanya direct comparison na simu za kampuni kubwa

japo hii simu imezidiwa kila idara na midrange za kampuni kubwa kama huawei na samsung, yenyewe inauzwa bei ghali zaidi. ila sababu watu wamekariri tecno ni bei rahisi wanainunua hali ya kuwa hawajui.

hizi ni baadhi ya simu za kampuni kubwa zinazocompete na c9
-galaxy j5 na j7 (version za 2016 ni nzur zaidi)
-huawei honor 5x
-huawei g8
-motorola g4
etc

pia zipo simu za makampuni makubwa ya china (ukitoa huawei) kama xiaomi redmi note 3 ambazo zina specs kali kushinda tecno yoyote iliyopata kutengenezwa (nzuri kuliko phantom z5) kwa bei around dola 150. hizi zipo kenya bei kama laki 4 ya tz
Duuuuh wewe noma yaani nimeishia kusoma namba tu mara core 4 nyingine core 2...nilichoelewa kati ya nne na mbili ..4ni kubwa zaidi ya 2....Hongera...
 
Habarini waungwana kama nilivotangulia kuandika hapo juu, sim yangu ni mpya kilichofanyika nikuwa nili iformat cm yangu sasa wakati wa kuwaka imekomea katika sehemu ya kusearch Wi-Fi inaseatch tu haimalizi tangu asubuhi saa 5 mpaka saa 12 nasubiri labda itanipa option ya ku skip lakini hamna kitu. Je nifanyeje wandugu?
Umesema haiwaki mbona ina waka Hiyo ni frp (locked to google account) hadi utumie tools nenda kwa fundi
 
duh hata sijawahi kuzisikia, ukiona majina ya ajabu ajabu ujue hakuna simu hapo
Mkuu hizi SIMU zinabamba sana middle east Dubai ndo habari ya mjini ukiingia souq utaziona. Nikafikiri unazipata unipe dondoo
 
Back
Top Bottom