Msaada Tecno C5

Nicklaus

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
464
Reaction score
460
Cmu yangu ya tecno c5 ambayo bado mpya kila nikizima halafu kuiwasha baada ya masaa kadhaa inaniambia battery low tena hukataa kuwaka mpaka niiweke kwenye charge naombeni msaada wakuu tatizo nn hapo
 
Cmu yangu ya tecno c5 ambayo bado mpya kila nikizima halafu kuiwasha baada ya masaa kadhaa inaniambia battery low tena hukataa kuwaka mpaka niiweke kwenye charge naombeni msaada wakuu tatizo nn hapo
Mmmmh sio feki Hyo....wapelekee wenyewe Carlcare nenda na risit
 
mh hiyo itakuwa na shida mbona nyingine zinakaa na charge muda mrefu tuu
 
simu mpya hakuna haja ya kuileta humu, rudisha uliponunua
 
Hapo Rudisha Dukani Maana Ina Warranty Ambayo Hilo Lililotokea Siyo Tatizo Ulilosababisha Wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…