Msaada tcu na helsb

Msaada tcu na helsb

dikai

Senior Member
Joined
May 24, 2015
Posts
125
Reaction score
7
ni bodi gani inaanza kutoa majibu kati ya tcu na bodi ya mikopo m maana naona HELSB wapo kimya wakat ndo tulianza kuomba kabla hatujaomba vyuo na tayar saiv baadh ya vyuo vishatoa majib
 
ni bodi gani inaanza kutoa majibu kati ya tcu na bodi ya mikopo m maana naona HELSB wapo kimya wakat ndo tulianza kuomba kabla hatujaomba vyuo na tayar saiv baadh ya vyuo vishatoa majib
hii inatokana na kwamba helsb baadhi ya sifa zinatokana nanafaculty uliyopangiwa kama ni priority au non priority thus why zinaanza post za vyuo kama walivyotoa tbatchone Udsm na. nk
 
Kwahyo mjomba helsb inawezekana had mwez octoba sio!
 
Kuwa mvumilivu. Kama mwezi kutoka jua likizama
 
Heslb wanakuwa wa mwisho baada ya kupokea taarifa za selection za TCU na wanafanyia watu mahesabu yao
 
Back
Top Bottom