hamidshaban
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 262
- 32
leo ni leo kwa tuliomiss airtel yatosha na co muda mambo yanakaa sawa
Jamani mi nimeona jina lipo sua...nanyi angalieni maana mwenzenu presha ilipanda kidigo. Sua tu ndiyo ilibaki ktk vyuo nilivyoomba
arh lin jamanheri yako, wale wa st.john twafa