Msaada: Tatizo la Whatsapp kwenye simu yangu

Msaada: Tatizo la Whatsapp kwenye simu yangu

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Habari wanaJF

Nina Samsung ya kichina yenye Opera na Whatsapp. Nikifungua Opera yake nakuta maelezo tu na pia Whatsapp yake ukitumia baada ya muda Whatsapp inablock namba ya simu.

Naombeni msaada jinsi ya kuifanya Opera ifanye kazi na Whatsapp isi-block namba.
Msaada please kwa anayefahamu..
 
Pole mkuu,opera na whatapp zinaleta error yoyote.,kama ipo sema ina leta error ipi.?
 
Kaka hio ulionayo sio whatsapp official bali ni 3rd party app ya whatsapp. Ni app nyengine ambayo inawasiliana na whatsapp ili uweze kutuma na kupokea msg.

Zamani tulikua tunatumia whatsapp plus ambayo nayo ni 3rd party whatsapp app ila watu wakaja kublockiwa wakapata bann. So same issue imekukumba na wewe.

Hapo solution ni kuzi update hizo app na kama umesema ni simu ya kichina probably hutaweza ku update .


Solution nayoifikiria hapa ni kumess na system files. Hio simu yako inasuport kudownload hata java? Kama ndio itabidi utafute file manager linaloonesha system files then ulocate hadi sehemu ambapo whatsapp yako ipo

Then tafuta mtu mwenye simu ya kichina kama yako ila ambayo ni latest eka file manager then copy whatsapp yake halafu ieke kwako.

Ni risk solution ila ndio njia pekee nayoona inafaa.


Alternative kama ni mchina wa android download tu whatsapp official playstore
 
Back
Top Bottom