Msaada tatizo la taa ya check engine kwenye premio 1NZ

Msaada tatizo la taa ya check engine kwenye premio 1NZ

Ibanda1

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
728
Reaction score
1,135
Habari wakuu
Gari yangu imepata changamoto inawasha taa ya check engine, nikamtafuta fundi kwa ajili ya diagnosis, tukapata code p1656 (vvti sensor toyota) fundi akasema ni tatizo la vvti sensor tumbedilisha lakini bado taa inawaka. Kwa mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama hili naomba msaada ulilitatuaje?
 
Kunahaja ya kuongeza baiskeli nyumbn maana Kila tatizo nalijuwa
 
IST yangu inawasha hii taa mwaka saaana bado nadunda nayo tu
 
IST yangu inawasha hii taa mwaka saaana bado nadunda nayo tu
🤣🤣 jamaa angu anasubaru inawasha check engine Mwaka wa pili ss na Hana habari… gari ina perfom vzur tuu, anakwambia haya mataa ukipambana nayo sn utakosa mpaka hela y kula.
 
Back
Top Bottom