Je simu yako ina RAM kiasi gani? Kama ipo chini ya 1gb ujue ni rahisi kwa simu kuzidiwa (overloaded) endapo umejaza application kwenye hiyo simu na kuna baadhi ya application ambazo huwa zinaongeza cpu usage.
Anyway, suruhisho ni kuziuninstall baadhi ya applications.