Msaada-Tatizo la Netflix SignUp (Your Almost there + Step 2 signUp)

Lady Lorinda

Member
Jun 21, 2020
7
2
Heshima yenu Viongozi, nilikua na Account Netflix nikaifuta nikafungua account nyingine jana kwa email tofauti na Visa Card Number Tofauti.. lakin mpaka sasa inasumbua nimeshindwa kupata Account Mpya Netflix..!!!

Naombeni Muongozo juu ya hili Viongozi.. Nimejaribu kugoogle na kuangalia different tutorials lakin nimechemka..naambatanisha picha na video muone inavyoandika..!!!

Ahsanteni

IMG-20221020-WA0000~2.jpg
Screenshot_20221019-220337~2.jpg
Screenshot_20221019-220451~2.jpg
Screenshot_20221019-220451~2.jpg
Screenshot_20221019-220410~2.jpg
IMG-20221020-WA0000~2.jpg
 
Heshima yenu Viongozi, nilikua na Account Netflix nikaifuta nikafungua account nyingine jana kwa email tofauti na Visa Card Number Tofauti.. lakin mpaka sasa inasumbua nimeshindwa kupata Account Mpya Netflix..!!!

Naombeni Muongozo juu ya hili Viongozi.. Nimejaribu kugoogle na kuangalia different tutorials lakin nimechemka..naambatanisha picha na video muone inavyoandika..!!!

Ahsanteni

View attachment 2392452View attachment 2392454View attachment 2392455View attachment 2392456View attachment 2392457View attachment 2392458View attachment 2392459View attachment 2392460
Jaman ina maana hakuna mwenye kutatua hili tatizo?
 
sisi tumeshazoea medeberiyaa, 123movies na wengineo

hayo mambo ya Netflix tumewaachia nyie wakishua
 
Check amount ya pesa ulionayo kwenye card yako ya bank, hakikisha pia network connection yako ipo vizuri
 
Back
Top Bottom