pole,kula kabeji kwa wingi ambayo imepikwa muda mfupi sana(less tha 5mins) muda mrefu na maji kwa wingi. Lakini kwa hali uliyonayo nenda pharmacy watakupatia dawa
ni vyema kula greens zilizopikwa muda kiasi tu..japo waweza kuongeza viungo mbalimbali,inatakikana hizi greens ziwe bila viungo..greens namaanisha sukumawiki,spinach na nyinginezo..hapo mambo itakuwa swafi kabisa
Kama unaishi kwa kula biskuti 2 na Coca kama msomali usitegemee kupata choo, labda unaweza kupata bafu kidogo, kula ugali wa dona wa kutosha na matunda hasa machungwa au machenza na uyale na makapi yake sio kunyonya juice yake na kuyatupa. Usipopata choo nenda kapigiwe ramli labda mpo wawili.!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.