Msaada tatizo la kujizima kwenye Tecno P5

Msaada tatizo la kujizima kwenye Tecno P5

tamsana

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
3,830
Reaction score
8,247
Habari zenu wadau wa hili jukwaa! Sim yangu ya TECNO P5 imepata tatizo la kujizima yenyewe na ukiwasha inastack na kuzima tangia asubuhi ya leo nikapata akili ya kutoa memory card hatimaye ikafanya kazi bila tatizo, nikajaribu kuirudisha mambo yakawa yaleyale ya kuwaka na kustack.

Je! nifanye nini ili niweze kutumia memory card yangu bila hilo tatizo
 
Habari zenu wadau wa hili jukwaa! Sim yangu ya TECNO P5 imepata tatizo la kujizima yenyewe na ukiwasha inastack na kuzima tangia asubuhi ya leo nikapata akili ya kutoa memory card hatimaye ikafanya kazi bila tatizo, nikajaribu kuirudisha mambo yakawa yaleyale ya kuwaka na kustack, je nifanye nini ili niweze kutumia memory card yangu bila hilo tatizo

√ Format memory card baada ya kuhamisha file zako
 
Tatizo hainiruhusu kufanya kazi yaani inawaka na kustack na mwishowe inazima
 
mi yakwangu P5 ilikuwa na tatizo kama ilo nika-format memory card na tatizo likaisha apoapo.
 
lamaqswis
huna haja ya kufomat memo check m wasap

Sijakuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom