Internal storage inajazwa na vitu unavotuma (picha na videos) kwa watu /groups za whatsapp. Vitu unavotuma huwa havifutiki kwenye storage hata kama utafuta kwenye gallery yako. Chakufanya ingia kwenye internal storage yako Kisha tafuta folder
lenye jina whatsapp. Lifungue ndani Kuna folders nyingine. Fungua lenye jina media,lifungue utaona folders nyingine zenye picha, video, documents nk. Nk. Futa sent items zote kwenye kila folder nililo taja Kisha urudi kushukuru hapa
.
HOPE I HAVE INFORMED YOU ENOUGH