Zima auto updates ya apps kwenye play store. Mara nyingi huwa zinaongezeka size kila update.
Shukrani,, Ngoja nijaribu mkuuIngia setting applications zake mfano chrome inaweza has cache unaclear
Asante mkuu
Mkuu hii clean master ipo kwa simu yangu huwa naitumia Mara nyingi ku'release phone storage! Space huwa inaongezeka kwa muda then tatizo linajirudiaKuna whatsapp photos and videos huwa zinachukua space. Kama umeruhusu ziwe downloaded automatically.
Tumia Clean Master kuexplore mafail katika simu yako itakuonyesha mafail yanayochukua volumes kubwa....

Katatizo ka wengi haka
Caches data ni nini? Huwa nasoma tu hiki kituIngia setting - app...force stop app zote ambazo hutumii ,futa caches data,unaweza kuwa games app zinakula sana space,futa zipakue unapotaka kucheza ukimaliza kucheza futa, video zote za kupakua zielekeze kwenye sd card.uwe una safisha RAM mara kwa mara,pia pakua RAM play store,inasaidia kiasi fulani kutuliza simu.
Sina utaalamu sana kwa kuelezea,kwa urahisi tu ni mabaki mabaki ya data za app unazotumia,yanaweza kujaa hata 1 gb kwenye simu,sasa kama una storage ya mawazo lazima simu isumbueCaches data ni nini? Huwa nasoma tu hiki kitu