Msaada tatizo la kohozi kung'ang'ania

social_science

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,106
1,259
habari wakuu
nimekua nasumbuliwa na tatizo la kuwepo makohoz kohoni najaribu kuyatoa kupitia kinywa na pua ila inashindikana msaada tafadhari
 
habari wakuu
nimekua nasumbuliwa na tatizo la kuwepo makohoz kohoni najaribu kuyatoa kupitia kinywa na pua ila inashindikana msaada tafadhari
inawezekana ulikuw unakula kula vitu vya baridi sasa makohozi yanakuw Kama yananata nata ndo mana inakuwa ngumu kuyatoa jaribu kupiga mswaki unakuw unaupitisha had kooni utakuw unahisi kama kutapika
 
Kunywa maji ya moto mix na limao kwa asubuh na jioni, Halafu acha kunywa maji ya baridi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom