Msaada tatizo la IPv6 kwenye Windows 7

Msaada tatizo la IPv6 kwenye Windows 7

Mwazange

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2007
Posts
1,056
Reaction score
83
Za saa hizi wakuu.
Yaani leo nimetoboa usiku kucha kutaka kujaribu kutatua tatizo la desktop yangu DELL inrun win7 home X32, lakini imeshindikana. Ishu ni kama ifuatavyo;
Ghafla bin vuu, computer haishiki internet, ila inapatikana kwenye home-network. Nayapata makabrasha yote niliyo-share kwenye home-network nikitumia computer nyingine. Nina imani nimeweza ku narrow-down tatizo kwenye IPv6 sababu baada ya ku-run numerous diognostic checks still inaonyesha "No Internet Access." Nimejaribu njia ya kila aina (kila aina niijuayo), kujaribu kutatuta lakini mpaka niandikapo uzi huu, ngoma bado bila bila. Mwenye wazo naomba. Napumzika kidogo, then nitarudi hapa kama kuna mwenye kutaka maelezo zaidi.

Ahsanteni.
 
Nimejaribu three different restore points, lakini haikuwezekana, ila sasa najaribu kurudi nyuma zaidi ya wiki mbili hivi, nione kama itawezekana, potelea mbali ku-reinstall programs tena, maana naona kunako Oktoba 31 mishale ya saa mbili usiku, kuna system update ilifanyika ambayo sijui ni ya nini. Ntaijaribu hiyo muda si mrefu.
 
Kama unatumia Ad-hoc network tatizo litakuwa katika komputer unayotoa hiyo internet, Windows 7 ina complication nyingi sana ktk kushare internet, Hakikisha unacheki properties za hiyo internet kama ume allow internet sharing, Mi nakushauri utengeneze network nyingine na ktk kutengeneza utaletewa option ya kuturn on internet sharing.

Ila cjajua kwanini ujitese na Ad-hoc network kuna software nyingi ambazo zinaweza kufanya kazi kama wireless router. Mi natumia connectify kama unaihitaji download hapo chini.
Link: Connectify.Pro.3.7.1.25486.rar
password: gkiwango
 
Back
Top Bottom