Msaada tatizo la computer.

Msaada tatizo la computer.

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,927
Reaction score
4,199
Wakuu nikiwasha computer yangu inaleta ujumbe ufuatao kama unavyoonekana kwenye picha. Haiedelei zaidi ya hapo.

20181026_123624.jpg
20181026_123935.jpg



Cc Chief-Mkwawa
 
ZIma computer (Shikilia Butto ya Power ahdi izimike), Washa computer ikileta option za kuchagua Kati ya Launch startup and repair au Start windows normally, chagua START WINDOWS NORMALLY
Haileti mkuu. Bado nikiwasha inaleta vile vile kama mwanzo
 
Sina mkuu. Ila ni window 7
computer yako inataka kufanya system restore ambao itawezesha hyo computer kufanya kazi kama awali,sasa kama ungekuwa na
windows 7 image ungefanya repairing
 
target ni system restore,baada ya hapo kila kitu kinakuwa kama awali
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    19.5 KB · Views: 30
  • repairwindows7fromusbflashdrive_thumb.jpg
    repairwindows7fromusbflashdrive_thumb.jpg
    20.9 KB · Views: 27
Huku nafikaje mkuu mpaka kuipata hii?
unafata process zote za kupiga windows ukifika hatua ya picha ya kwanza hapo unachagua repair your computer baada ya hapo unapelekwa picha ya pili unachagua system restore ambayo itakupeleka ktk picha hii mpya
 

Attachments

  • memory.jpg
    memory.jpg
    35.8 KB · Views: 38
unafata process zote za kupiga windows ukifika hatua ya picha ya kwanza hapo unachagua repair your computer baada ya hapo unapelekwa picha ya pili unachagua system restore ambayo itakupeleka ktk picha hii mpya
Ok. Kwahiyo inabid niwe na cd ya window. Hapo ngoja nimtafute mtaalam maana sina vitendea kazi.
 
Parefu huko mwanangu ungekuwa karbu tungeangalia tunasaidiana vipi
 
Back
Top Bottom