Wanstechnical JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 266 Reaction score 225 Feb 23, 2014 #1 Naomba mnisaidie bandugu kuna kitu kinapita fasta kimeandikwa argc code error kila baada ya sekunde kadhaa...ni nini tatizo?
Naomba mnisaidie bandugu kuna kitu kinapita fasta kimeandikwa argc code error kila baada ya sekunde kadhaa...ni nini tatizo?