mjombakaka
Member
- Apr 28, 2011
- 26
- 16
samahani wadau...naulizia kama zile nafasi za "CASHIERS" ambazo interview ilifanyika jan 12 kama watu walishaitwa kazini.
Nadhani bado, hata mimi nasubiria hiyo kitu.
yes.....KIJANA MGUMU zile za kibaha niliziona asee,na nimeshazifanyia utaratibu.Nilijaribu kuwacliana na wadau wengine waliofanya interview za Tanroads ktk mikoa mingine, kila m1 anasema na yeye hajackia chochote kama kuna wa2 walioitwa. Ila KIBAHA nao wametoa nafac 8 za cashiers, co mbaya kama 2kiomba na hizo.