Msaada tafadhari !!


Thanks mkuu ingawa hayo yote nayajua!!Japan kama sikosei wapo kwenye 7G na marekani wapo kwenye 5G ila aina uhakika sana!!tatizo langu hapo ni kuwa hapa Tanzania mitandao mingi haijafunga hiyo mitambo inayo support hiyo technologia!!Nadhani kama sijakosea kuna company moja inaitwa esmile inadai ina support 4G
 

We jamaa unachemka sana..
 
Kivipi tena wakati C6 amekueleza kila kitu, kwani upo TANZANIA?

Nipo Tanzania mkuu!!Tatizo hapo nimesoma Wikipedia kuna list ya nchi zinazo support hiyo technology na Tanzania haipo!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…