Msaada tafadhari !!

MWAMUNU

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
870
Reaction score
531
Heshima mbele wana jamvi !!
Kichwa cha habari kinajieleza .
Kuna simu hapa HTC sensation xl haishiki 3g nimejaribu kila njia network mode nimeweka auto lakini inashika edge tu !!
Wajuzi tiririkeni !!
 
Inaezekana sehemu ulipo hamna 3G!
Pia angalia hizo configurations za ISP wako kama ziko sawa.
 
Mkuu hapa nina huawei p1 iko full 3g !!Kwenye HTC apn na takataka zote nimeset vizuri still inankazia msuri mwee !!
 
nenda kwa setting,then more option then nenda kwa mobile network then nenda kwa access point name itatokea settng za APN press left side of menu button.(hapo penye alama ya sawasawa)then nenda kwa NEW APN halafu ingza name of ur network (voda or tigo)then chn yake pana APN ingza kama n tgo internet,voda internet etc then rud back.hapo itakuonyesha mtandao net yako.then iccomand kwa screen yako.hopw every thng gonna b o.rite
 
Hayo yote nimefanya lakini wapi naenda rudisha nlikonunua isiwe tabu !!
 
Hili nalo laweza kuwa neno!!
 
Poa mkuu nafikiri nimechagua fungu la kukosa niliipendea screen kubwa ,hata hivyo nairudisha kwa shop !!
 
Ok nimeangalia simu yangu ya alcatel ot 995, inasupport HSDPA 900 / 2100 tu na inakamata 3G bila matatizo so hiyo HTC inatakiwa kufanya kazi. Angalia settings kama haujaweka 2G only au preferred 2G, then jaribu na mtandao tofauti na eneo tofauti.
 
Nilipata tatizo kama hilo na htc inspire, nikiwa TZ napata Edge wakati nje inakamata 4g/3g nilijaribu Tigo na Voda bila mafanikio.
Tatizo ilikuwa Htc inspire ilikuwa ilikuwa na firm ware za AT&T ukiiunlock kwenda mtandao mwingine inadefault kwenye Edge.
Je hiyo ya kwako ni second hand kutoka nje ya nchi?
 
Kwani voda Tanzania haitumii 2100 Mhz?
Kuna simu hapa HTC sensation xl haishiki 3g nimejaribu kila njia network mode nimeweka auto lakini inashika edge tu
Mkuu kuna uwezuekano hiyo simu imetoka North America, maana niliwahi kuwa na simu kutoka at&t ambayo nilifankiwa ku-unlock lakini connection ikawa Edge tena naweza sema sometimes ilikuwa G kabisa, Yaani ilinikera mpaka nikaiuza tu
 
Hebu fafanua kiasi haisapoti kivipi

Kuna technologia wenzetu wanatumia inaitwa hsdpa ambayo tz bado mitandao yetu haijaweza kuifunga.Na most ya cmu nyingi zinazotoka nje kupitia kwa ndugu au rafiki anakupa bila kuangalia ipo kwenye technologia ipi ndo zinaleta usumbufu kama huo
 
Kuna technologia wenzetu wanatumia inaitwa hsdpa ambayo tz bado mitandao yetu haijaweza kuifunga.Na most ya cmu nyingi zinazotoka nje kupitia kwa ndugu au rafiki anakupa bila kuangalia ipo kwenye technologia ipi ndo zinaleta usumbufu kama huo
sisi tunatumia teknolojia gani mkuu?
 
Angalia hapo kwenye picha kisha niambie kirefu cha iyo "H" tafadhari...


Kwa kweli hiyo cjui ni nini but kwa jinsi nilivyo soma bado hawajaoweka hiyo technologia ila wanampango huo kwa mtandao wa voda
 
Kwa kweli hiyo cjui ni nini but kwa jinsi nilivyo soma bado hawajaoweka hiyo technologia ila wanampango huo kwa mtandao wa voda

H' stands for HSPDA (High Speed
Downlink Packet Access) higher
version of 3G, the speed in this is at
least 7.2 mbps or higher. This mode
permits you to enjoy the power of
internet surfing/downloading or
uploading. There is an exception in
both 3G and H, a few of persons
says that 3G is more powerful than
H.
Let's have a look what these symbols
say:
G = 1G (GPRS)
E = EDGE (2.5G)
3G =3G
H (High Speed Downlink Packet
Access) = 3.5G (HSPA+), HSPA 14.4
(really just a 3G standard, marketed
as 4G)
4G=4G
In order of speed: 4G > H > 3G > E
If the signal indicator says H, it
won't also say 4G unless the phone
is capable of LTE, which this phone
is not
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…