HOYANGA Senior Member Joined Jun 9, 2011 Posts 187 Reaction score 28 Aug 26, 2012 #1 Wanajamii tafadhali naomba kujua sehemu ambayo kuna gym nzuri kuanzia maeneo ya Ubungo na KIMARA na malipo ni kiasi gani kwa mwezi au kwa siku. Natanguliza shukrani zangu.
Wanajamii tafadhali naomba kujua sehemu ambayo kuna gym nzuri kuanzia maeneo ya Ubungo na KIMARA na malipo ni kiasi gani kwa mwezi au kwa siku. Natanguliza shukrani zangu.