1. kuna mtaa wa GogoGongo la ng'ombe au mi mwenyewe nimeelewa vibaya ? Samahani mkuu.
kuna maduka kibao pale, na ndiyo ni chimbo langu haswa kwa spare parts za umeme za kiwandani/nyumbani/etcLakini mkuu kama pale una uhakika na kweli zipo naomba kama inawezekana unisaidie kujua ni duka gani ( jina)