iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,214
- 10,169
Saiv una miaka mingapi mkuu..? [emoji19]Hahaha! Ziloi nimecheka kweli kweli, fuata ushauri wa Chief-Mkwawa. By the way mtoto wa standard 6 anasahau vipi passwords?
Nakumbuka akaunti yangu ya Facebook nimefungua nikiwa standard 5 na passwords sikusahau. Embu mtulize akumbuke kwa uzuri.