Ni kama msemo wa kiswahili: Apandacho mtu ndicho avunacho.
Kwamfano kwenyebiashara: ukitangaza sana biashara tegemea wateja. Ikiwa na maana watu wataisikia na kuizungumzia mwisho wa siku watanunua bidhaa yako.