MSAADA TAFADHARI

Daliso

Member
Mar 29, 2017
45
26
Kuna rafiki yangu kipenzi amepotelewa na ndugu yake anayeitwa Mr Thomas R. Lyimo , ambaye hawajamuona kwa zaidi ya miezi mitatu na wamejitahidi kumtafuta kila kona ya jiji la Dar es salaam bila mafanikio, lakini pia wamejitahidi kumtafuta mwochwari zote za Dar bila mafanikio yoyote. Ndugu yetu huyu hupendelea zaidi kuishi/ kukaa maeneo ya kinondoni

Naomba kwa yoyote atayemuona awasiliane kwa namba zifuatazo, 0767982323,0655049982 ,0713944331 na 0713258216. Imesharipotiwa polisi na CB/RB /7053/2019
thom.jpg
 
Back
Top Bottom