Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,402
- 5,526
Maelezo yanahitaji nini. Maana kila nifanyalo ni empty
password yako unayojaribu kutengeneza ni dhaifu ili kupata password imaraMaelezo yanahitaji nini. Maana kila nifanyalo ni emptyView attachment 746150
Asante mkuu hebu nitrychanganya password yako iwe na herufi, namba, na alama kama #$@*+-=/'?, itakubali tu
Hahahaaa tatizo ni lugha mkuu jifunze hakuna namnaMaelezo yanahitaji nini. Maana kila nifanyalo ni emptyView attachment 746150
Mkuu naona ulileft kwenye group la mablogger kule whatsapp now days naona umerudi jfHahahaaa tatizo ni lugha mkuu jifunze hakuna namna
Mzee wa kazi kule blogu uliondoka hakuna jipyaHahahaaa tatizo ni lugha mkuu jifunze hakuna namna
Mtabaki kuoneshana $100 wakati wengine hawajui namna ya kuzipata ndo maana nika leftMzee wa kazi kule blogu uliondoka hakuna jipya