Msaada tafadhari wadau

Al assad

JF-Expert Member
Aug 14, 2017
995
1,000
Nahitaji kujua ni simu gani naweza kuipata kwa kati ya Tsh 300,000 mpaka 325,000 .lakini isiwe tecno.na chipset take isiwe mediatek ,regardless kamera.
 

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,428
2,000
Nahitaji kujua ni simu gani naweza kuipata kwa kati ya Tsh 300,000 mpaka 325,000 .lakini isiwe tecno.na chipset take isiwe mediatek ,regardless kamera.
Global Version Xiaomi Redmi 5 2GB 16GB 5.7" HD 18:9 Full Screen Smartphone Snapdragon 450 Octa Core Fingerprint ID MIUI9 3300mAh
Global Version Xiaomi Redmi 5 2GB 16GB 5.7" HD 18:9 Full Screen Smartphone Snapdragon 450 Octa Core Fingerprint ID MIUI9 3300mAh-in Mobile Phones from Cellphones & Telecommunications on Aliexpress.com | Alibaba Group
 

dendizzo

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
759
1,000

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,428
2,000
Mkuu unaweza kunisaidia makadirio (Maximum) ya bei ya Redmi 5 Plus 4GB/64GB Global version.
Unaipata kuanzia TZS 400,000-450,000 ni pamoja na shipping cost, bei zinatofautiana kulingana na rangi ya simu.

IMG-20180324-WA0011.jpg
IMG-20180324-WA0013.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom