msaada tafadhari..... "Startup Repair"


kipenga

kipenga

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
201
Points
195
kipenga

kipenga

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
201 195
habari wanajamvi........
Naomba msaada wenu kwenye hili

Natumia pc window7
kila nikiiwasha inaonyesha sentens "window is loading files.........." then inaanza kuload inaandika
"Startup Repair is checking your system for problems........"

inachukua dakka kadhaa then inarestart yenyewe ikianza kuwaka inaleta ujumbe uleule that window is loading file..... then "startup repair is checking your system for problems"…..
Then inajirstart tena na inarudia hvyohvyo..... nimda sasa tangu saa4 asubuh niakaiacha but nmerud bado vlevle tu......

Tafadhari naomba msaada wenu.

NATANGULISHA SHUKRANI.
 
Isaac Chikoma

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Messages
490
Points
195
Isaac Chikoma

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2011
490 195
iformart tu hiyo ndo dawa.
 

Forum statistics

Threads 1,283,500
Members 493,720
Posts 30,791,897
Top