Wapendwa wana JF naomba msaada kwa yeyote mwenye Manual Book ya remote RC Univers 22. Nina kisimbusi kimekufa remote yake. Kuna mpwa wangu aliniletea remote hii bila mannual book yake amboyo nahisi itakuwa pia na code list.
Nimegoogle napata RC Univers 23.