Msaada Tafadhari kuna mtu amehack account yangu

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,903
Reaction score
9,683
Wakuu Habari za jioni

Nina email yangu ya Gmail ambayo nilikuwa natumia pia kwenye simu yangu ya iPhone 7

Sasa wiki tatu zilizopita niliibiwa simu yangu pale mwenge mataa

Ila Leo jioni hii nimepata jumbe kadhaa kutoka Google nitaziupload soon na pia after kupata hizo jumbe siwez tena kuingia kwenye account yangu



 
Una maanisha simu yako haikua hata na iCloud password?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…