Msaada tafadhari kuhusu email toka nacte

James Hungury

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
825
Reaction score
612
WADAU HABAR ZA KWENU,
mimi nina swali mmoja,nina mdogo wangu alifanya application ngazi ya degree na kwenye website ya nacte siku zilizopita.lakini cha kushangaza hakupokea email nacte yoyote inayomtambulisha password yake ya kuingilia kwenye website katika email account yake.,Eti hapo kuna kuna maanisha nini?je asubiri mpaka manjina yatoke tu?na je ni lini?
hebu nipeni mshauri nimshauri,
 
czani kama mtu anaweza kuomba degree kupitia nacte,bachelor degree zote zinafanywa na tcu sio nacte,hapo amepoteza!
 
Kwenye email huwa kuna folders tofauti, hizo email za nacte mara nyingi huwa haziingii direct kwenye inbox so mwambie aangalie folder linaitwa spam.
Hapo lazima ataikuta kama kweli aliapply..
NB: Email zote kutoka nacte zinaingia humo.....
 
mkuu,yeye ana diploma,na kawaida watu wenye diploma wakiwa wanaomba degree lazima wapitie nacte,
 
Kwenye email huwa kuna folders tofauti, hizo email za nacte mara nyingi huwa haziingii direct kwenye inbox so mwambie aangalie folder linaitwa spam.
Hapo lazima ataikuta kama kweli aliapply..
NB: Email zote kutoka nacte zinaingia humo.....

pia spam folder hakuna,email haipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom