Lio 002
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 436
- 68
Ndugu wana Jf nina simu yangu ya Iphone 4 nilibadili version yake ila baada ya kuja kuwaka ikawa ina nidai ID na vitu vingne ambavyo mm nilishavisahau so natakiwa ku unlock mwenye maarifa juu ya hilo swala njia mbadala tukiachana na ile ya e-mail hadi nitume dolla mia mbili na hamsini naomba anijuze tafadhari