Nina tatizo moja ambalo siloelewi chanzo chake ni kwamba nikiwa nimelala au nimekaa au hata nimesimama(sometimes) halafu nikajamba ile hewa inaingia ukeni halafu nikisimama inatoka kwa kasi kama najamba tena sasa sijui ni nn shida nisaidieni tafadhali

Mimi sio daktari lakini bibie Calixta ulishawahi kujifungua kwa shida? Kwa sababu hiyo ni kama inayoashiria tatizo la FISTULA. Kama ukeni hakutoki harufu mbaya basi pengine siyo Fistula.