Msaada tafadhalini wa kuvolunteer

Msaada tafadhalini wa kuvolunteer

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,635
Guys msaada wenu tafadhalini,next week nataraji kuanza rasmi maisha ya kitaa baada ya kumaliza chuo..Naombeni msaada wenu jamani nipo tayari kuvolunteer kwenye kampun yoyote ile kwani fani yangu n Electrical installion ngazi ya level 2,Na vilevile mwenye kufanya kazi katika makampuni haya Pivotech,Maktech,Sincro site watch hii ipo mikocheni,Reime hii ipo mikocheni,Man tracat au Delta n.k,Naombeni Msaada wenu waungwana,kwani Maisha ya kitaa ni magumu jamani
 
Back
Top Bottom