Saizi maombi yanatumwa moja kwa moja chuoni hivo ni kutafuta masanduku ya posta ya vyuo vya Lita kama vile, mpwapwa, Tengeru, Buhuri, Morogoro nk.Habari wakuu..
Kuna binamu yangu kamaliza four 4 mwaka jana, Hivyo anapenda mwaka huu ajiunge na chuo cha mifugo (LITAs) ili asome astashahada ya Animal health and Production.
So mwenye infos kuhusu maombi, contact au mtu yeyote anayesoma katika vyuo hivyo..Msaada tafadhar
Matokeo ya huyu dogo..
Bios - C
Chem - D
Geog - D
Math - D
Eng - D
Kisw - D
Yaliyobaki yote kapata "F"
Asante mkuu, hebu niwasilianenaeSaizi maombi yanatumwa moja kwa moja chuoni hivo ni kutafuta masanduku ya posta ya vyuo vya Lita kama vile, mpwapwa, Tengeru, Buhuri, Morogoro nk.
Namba hii ni ya mwalimu wa lita morogoro 0755506555 labda unaweza kupata unachotaka
Habari wakuu..
Kuna binamu yangu kamaliza four 4 mwaka jana, Hivyo anapenda mwaka huu ajiunge na chuo cha mifugo (LITAs) ili asome astashahada ya Animal health and Production.
So mwenye infos kuhusu maombi, contact au mtu yeyote anayesoma katika vyuo hivyo..Msaada tafadhar
Matokeo ya huyu dogo..
Bios - C
Chem - D
Geog - D
Math - D
Eng - D
Kisw - D
Yaliyobaki yote kapata "F"
Shukrani mkuu, mungu atajaaliaH na malengo ya dogo yatatimiaKwa matokeo hayo, hakika nduguyo " amejichagua mwenyewe". Pamoja na kuwasiliana na huyo mwalimu kama ulivyopewa namba na mdau hapo juu, uwe unatembelea website ya wizara ya kilimo, mifugo na uvuvi maana fomu zq maombi huwa zinapatikana huko (kwa sasa bado hawajaziweka hadi Mara ya mwisho nilivyoangalia). Kila la heri kwako na kwa mtaalam mtarajiwa wa mifugo.
Mkuu, wizara ya kilimo naona wamerelease form za vyuo vya kilimo tu ( MATIs) na sio vyuo vya mifugo (LITAs)
Kweli mkuu hii website ndo ilikuwa dawa ya ugonjwa wangu.. So nmepakua form kila kitu kipo freshwww.lita.go.tz ikishindikana hapo basi PM namba yako unayotumia wasap.
Sawa ila nilijaribu kukwambia tu si vyema kumtaja binamu ilhali mhusika ni wew kumbuka sijamuongelea bashite ila umemtumia kupotezea tuIla fahamu kuwa matokeo haya hata mkuu wako wa mkoa Bashite hana na unakubali akuongoze
sawa master ila hawa madogo ni wetu so hatuna budi kuwasaidia kwa kila hali na mali..Sawa ila nilijaribu kukwambia tu si vyema kumtaja binamu ilhali mhusika ni wew kumbuka sijamuongelea bashite ila umemtumia kupotezea tu