Msaada Tafadhali

Kichaafulani

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
1,295
Reaction score
1,276
Salaam,

Nina saa yangu ya mkononi ya Samsung (Samsung Galaxy Gear ) ambayo niliinunua pamoja na simu yake Samsung Galaxy Note 3.

Sasa hii saa (Gear ) imezimika ghafla, Nimefanya jitihada kuiwasha haiwaki, nikai charge pengine itakua imeishiwa charge wapi.

Kabla sijaenda kwa fundi nime Google site ya Samsung sijapata ufumbuzi, sasa kama kuna wajuzi hapa jamvini tafadhali sana mnisaidie ili nipate ufumbuzi wa hili tatizo maana naipenda sana, ni ya gharama na sipo tayari kuona ina nifia ili hali hata mwaka mmoja haijamaliza.
 
Imepita miaka miwili toka ununue? IPO bound na hio note 3? Nafkiri kama upo ndani ya warranty bado kwanini usiirudishe Samsung?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…