1>Nili apply mkopo wa Elimu ya juu,najaribu kuangalia kama nipo kwenye majina ya waliokosea lakini sioni taarifa yoyote,msaada jinsi ya kuangalia
2>Kuhusu application za vyuo,nili apply NACTE tarehe 02/08/2015,kila nikijaribu kuangalia(Log in),najibiwa kuwa Email/Password sio sahihi,ushauri tafadhali mwisho ni tarehe 31/08/2015